Programu tumizi ni zana za programu zilizojitolea na zinazosaidia wanafunzi katika kazi zao za kusoma kwa kuulizia na kusaidia wanafunzi kuunda maswali mbalimbali, kuunda majaribio, kutoa utabiri, kuunda ufasiri wa data, nk. Programu tumizi nyingine za kusoma uwasilisha wanafunzi, kwa mfano, na mjarabu au kuwaruhusu wanafunzi kutazama maoni ya mwalimu mtandaoni. Programu tumizi zinaweza kuunganishwa na Maabara Mtandaoni ili kuunda Nafasi ya Kusoma kupitia kwa Kuuliza (ILS). Programu tumizi za uchambuzi wa kusoma huwapa walimu muhtasari wa maendeleo ya mwanafunzi katika ILS.
Kama utateua programu tumizi kwa Turkish, maelezo katika tovuti hii yataonyeshwa bado kwa Kiingereza. Hata hivyo, ukijumuisha programu tumizi katika ILS na kuubadilisha mpangizo wa lugha wa ILS katika Turkish, programu tumizi itaonyeshwa kwa Turkish ndani ya ILS.